Overview

TANGAZO LA KAZI

Nafasi /postion (01): Operation Manager.

Uongozi wa TT SECURITY kwa mara nyingine tena unawatangazia wafanyakazi wote wa TT SECURITY na nje ya TT Security nafasi ya kazi katika nafasi ya OPERATION MANAGER. Mfanyakazi yeyote wa TT Security na nje ya TT Security anakaribishwa kuwasilisha maombi yake kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TT Security kuanzia tarehe 07/12/2022 hadi tarehe 25/12/2022.

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo;

1.   Kwa mfanyakazi wa TT Security awe amefanyakazi kwa kipindi kisichopungua miezi 6 na kutoka nje ya TT Security awe na uzoefu usiopungua miaka 3 katika kazi ya ulinzi.

2.   Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea

3.   Awe mwenye uwezo wa kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili na kingereza kwa ufasaha.

4.   Mwaminifu na mwenye nidhamu na bidi katika kazi.

5.   Mwadilifu (asiyekuwa na kumbukumbu nyingi za makossa ya kinidhamu).

6.   Mwenye lesseni na ujuzi wa kuendesha magari na pikipiki atapewa kipaumbele zaidi.

7.   Mwombaji awe na wadhamini 3.

 

Barua za maombi ziletwe katika ofisi za TT SECURITY zilizopo masaki karibu na ofisi za umoja wa mataifa (UN).

Kituo cha daladala ni FITNESS.

 

Kwa anwani ifuatayo;

Meneja Mwajili,

TT Security,

s.l.p 16561,

Dar es Salaam.

Email: headoffice@ttsecurity.co.tz

 

Kwa mawasiliano:  0746 518 605.

0684 824 406.

 

TANGAZO HILI LIMEHUISHWA NA UONGOZI WA TT SECURITY TAREHE 07/12/2022.